Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Simba Hassan Dilunga
Dilunga kwa sasa ndio habari ya mjini kwani yuko katika kiwango bora akihusika kwenye ushindi wa Simba katika michezo ya hivi karibuni
Dilunga ametupia mabao manne kwenye ligi, hakika ni silaha muhimu ya Simba katika mapambano ya kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa tatu mfululizo
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY DILUNGA...!
ADVERTISE HERE