FT : Alliance Fc 1-4 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jan 2020
FT : Alliance Fc 1-4 Simba

Simba imerejesha vipigo vya 4G ligi kuu baada ya kuifumua Alliance Fc mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba

Pamoja na kutangulia kufunga bao la kuongoza, Alliance Fc ilishindwa kwenda na kasi ya mabingwa hao wa nchi waliokuwa na kila sababu ya kushinda mchezo huo kutokana na kuwa bora kuliko wapinzani wao

Kiungo Jonas Mkude aliisawazishia Simba bao dakika chache kabla ya kwenda mapumziko Alliance wakitangulia kufunga kupitia mpira wa adhabu kwenye dakika ya 27

Meddie Kagere, Clatous Chama na Hassan Dilunga waliongeza mabao mengine matatu kwenye kipindi cha pili kuihakikishia Simba ushindi mnono

Ushindi huo unazidi kuiweka Simba kileleni mbali zaidi na timu nyingine katika mbio za kuwania ubingwa

Sasa wanaongoza kwa tofauti ya alama tisa dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili huku wakiwaacha watani zao Yanga kwa alama 16

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’