Simba ni mwendo wa burudani CCM Kirumba leo wakiivaa Alliance Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jan 2020
Simba ni mwendo wa burudani CCM Kirumba leo wakiivaa Alliance Fc

Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba leo wanarejea dimba la CCM Kirumba kuikabili Alliance Fc katika mchezo wa ligi hiyo

Juzi Simba ilipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao Fc katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja huohuo

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ameahidi kuendeleza wimbi la ushindi

Simba inayoongoza ligi ikiwa na alama 38 ambazo ni alama sita zaidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili, ushindi utazidi kuwaweka kileleni kwa tofauti ya alama nyingi zaidi

Habari njema ni kuwa leo safu ya ushambuliaji ya Simba itaongozwa na Meddie Kagere, kinara wa mabao katika ligi

Kagere alikosa mchezo dhidi ya Mbao Fc akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano

Vandenbroeck anaweza kuwaanzisha pamoja na nahodha John Bocco ambaye anaendelea kuimarika baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa zaidi ya wiki 12

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
13m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
17h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’