Tupo tayari kuikabili Alliance Fc - Vandenbroeck

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jan 2020
Tupo tayari kuikabili Alliance Fc - Vandenbroeck

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance Fc ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa CCM Kirumba

Akizungumza na wanahabari mapema leo kuelekea mchezo huo, Vandenbroeck amesema baada ya mazoezi ya siku mbili, vijana wake wako tayari kuikabili Alliance Fc katika mchezo ambao kama wataibuka na ushindi watajichimbia kileleni kwa kufikisha alama 41

"Tumefanya maandalizi kwa siku mbili baada ya mchezo dhidi ya Mbao Fc. Nimeridhishwa na mwenendo wa wachezaji, wote wako kwenye hali nzuri kuelekea mchezo wa kesho," amesema

Simba imeshinda michezo yote minne iliyopita dhidi ya Alliance Fc

Mabingwa hao wa nchi wanapewa nafasi ya kuendeleza ubabe wao dhidi ya vijana hao wa Alliance Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’