Baada ya kuichapa Mbao Fc mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba jana, kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Alliance Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja huohuo
Mshambuliaji Meddie Kagere ambaye amemaliza adhabu ya kadi tatu za njano, alishiriki mazoezi hayo na atakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza na Alliance Fc Jumapili






ADVERTISE HERE