Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu Bodi ya Wakurgenzi ya Simba
Mwenyekiti wa Bodi hiyo Mohammed Dewji 'Mo' amemkaribisha Makonda katika majukumu yake hayo mapya
"Nafurahi sana kumkaribisha RC wetu, Mnyama mwenzangu PAUL MAKONDA kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Simba akiwa kama Mshauri Mkuu (Senior Advisor). Karibu kaka. Pamoja tutajenga SIMBA bora zaidi! Hongera kwa uteuzi," amesema Mo
ADVERTISE HERE