Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage amesema klabu hiyo inapaswa kupata asilimia 20 ya mauzo ya mshambuliaji Mbwana Samatta ambaye yuko mbioni kusajiliwa na Aston Villa
Rage amesema kulingana na makubaliano ya mkataba, Simba ina mgao wake
Rage amesisitiza kwamba kama kuna kiongozi yeyote wa Simba ambaye ameuchakachua mkataba uliopo basi atakuwa amejipalia makaa ya moto
ADVERTISE HERE