Samatta kuinufaisha Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jan 2020
Samatta kuinufaisha Simba

Mshambuliaji wa KRC Genk Mbwana Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' yuko mbioni kusajiliwa na Aston Villa inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza

Aston Villa italipa kitita cha Pauni Mil 10 kwa KRC Genk

Habari njema kwa Simba ni kuwa watapata mgao wa fedha hizo kutoka kwa klabu ya TP Mazembe

Mazembe ilimsajili Samatta kutoka Simba kwa makubaliano ya kupata sehemu ya mgao pale mchezaji huyo atakapouzwa

Simba ilipata mgao TP Mazembe ilipomuuza Samatta kwenda KRC Genk na Mazembe watapata mgao Genk watakapomuuza kwenda Aston Villa

Simba itapata sehemu ya mgao huo ambao Mazembe watapokea kutoka kwa Genk

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’