FT : Mbao Fc 1-2 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jan 2020
FT : Mbao Fc 1-2 Simba

Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba wameendelea 'kuchanja mbuga' kuelekea ubingwa wa tatu mfululizo baada ya kuilaza Mbao Fc mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba

Mabao yaliyowekwa kambani na Hassan Dilunga na Jonas Mkude yalitosha kuiwezesha Simba kuondoka na alama zote tatu katika uwanja ambao mara nyingi huwa mgumu kwao

Bao pekee la Mbao Fc lilifungwa na Waziri Jr

Ushindi huo umeifanya Simba iendelee kujichimbia kileleni baada ya kufikisha alama 38

Mabingwa hao wa nchi wataendelea kubakia mkoani Mwanza mpaka Jumapili watakaopocheza na Alliance FC

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’