Shamra shamra zinapamba moto jijini Mwanza kuelekea mchezo wa ligi kuu kati ya Mbao Fc dhidi ya Simba
Mchezo huo utapigwa baadae kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Wafanyabiashara nao hawako nyuma katika kuchangamkia fursa
Wamejitokeza kwa wingi kuwauzia mashabiki jezi 'original' za klabu ya Simba
Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
ADVERTISE HERE