Simba imekamilisha usajili wa dirisha dogo kwa kumrejesha kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya
Usajili wa Kichuya umekuwa 'suprise' kwani umekamilishwa saa sita usiku
Simba ilimuuza Kichuya Misri msimu uliopita, hata hivyo hakudumu katika klabu ya Pharco Fc iliyokuwa ikimtoa kwa mkopo kwa timu nyingine
Karibu nyumbani Kichuya...!
ADVERTISE HERE