SImba yaomba sapoti ya mashabiki Mwanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jan 2020
SImba yaomba sapoti ya mashabiki Mwanza

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kiko mkoani Mwanza ambapo kesho Alhamisi watashuka kwenye uwanja wa CCM Kirumba kumenyana na Mbao FC

Kuelekea mchezo huo uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani kushangilia timu yao

Taarifa ya tathmini ya ushiriki kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi imebainisha kuwa benchi la ufundi litarekebisha mapungufu yaliyojitokeza visiwani Zanzibar

Simba imeeleza kusikitishwa na kushindwa kuibuka mabingwa wa michuano ya kombe la Mapinduzi lakini wamewataka mashabiki wasahau matokeo hayo, waungane kuiunga mkono timu mkoani Mwanza katika michezo yake miwili ya ligi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’