Simba tayari iko Mwanza, kuanza na Mbao Fc kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jan 2020
Simba tayari iko Mwanza, kuanza na Mbao Fc kesho

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimewasili mkoani Mwanza usiku wa kuamkia leo tayari kwa michezo miwili ya ligi kuu dhidi ya MBao Fc na Alliance Fc

Mchezo wa kwanza dhidi ya Mbao Fc, utapigwa kesho Alhamisi katika uwanja wa CCM Kirumba kisha kumaliza na Alliance Fc siku ya Jumapili

Simba imetua Mwanza baada ya kuunganisha safari kutoka visiwani Zanzibar ilikwenda kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wachezaji wote wako katika hali nzuri na leo jioni wanatarajia kujifua kwenye uwanja wa CCM Kirumba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’