Simba kuunganisha kanda ya ziwa kuifuata Mbao Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jan 2020
Simba kuunganisha kanda ya ziwa kuifuata Mbao Fc

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuunganisha moja kwa moja mkoani Mwanza wakitokea visiwani Zanzibar walikoshiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

Mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara, keshokutwa Alhamisi Januari 16 watashuka kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Mbao Fc

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wanakwenda mapema Mwanza ili kuwapa wachezaji wao mapumziko baada ya ushiriki wao kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi ambayo wamefika fainali na kufungwa bao 1-0 na Mtibwa Sugar

Baada ya kucheza na Mbao Fc, Simba itarejea tena uwanja wa CCM Kirumba siku ya Jumapili Januari 19 kuikabili Alliance Fc

Baadae mabingwa hao wa nchi watarejea jijini Dar es salaam kuikabili Mwadui Fc kwenye mchezo wa kombe la FA ambao utapigwa Januari 25 katika uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
45m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’