FT : Mtibwa Sugar 1-0 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jan 2020
FT : Mtibwa Sugar 1-0 Simba

Simba imeshindwa kutwaa taji la Mapinduzi baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar katika mchezo uliopigwa uwanja Amaan visiwani Zanzibar

Bao pekee lililowapa ushindi Mtibwa Sugar lilifungwa na Awadh Juma kwenye dakika ya 39

Ulikuwa ni mchezo ambao Simba haikuonyesha makali yake yaliyozoeleka pengine mabadiliko ya kikosi yalichangia

Mtibwa Sugar walikuwa na nidhamu na walicheza vizuri, matokeo hayo wamestahili

Wametwaa ubingwa wao wa pili wa michuano ya kombe la Mapinduzi

Simba inamaliza nafasi ya pili ikiondoka na kitita cha Tsh Milioni 10 wakati Mtibwa Sugar wanaondoka na Tsh Milioni 15 pamoja na kikombe

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
25m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’