Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba muda mchache ujao wanashuka kwenye uwanja wa Amaan kuikabili Mtibwa Sugar ukiwa ni mchezo wa fainali kombe la Mapinduzi
Simba inashuka dimbani kusaka taji lake la nne la michuano hiyo
Hiki hapa kikosi kinachoanza;

ADVERTISE HERE