Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesisitiza kuwa dirisha dogo la usajili litafungwa Januari 15 saa 5:59 usiku na hakutakuwa na muda wa nyongeza

Simba haikuwa busy sana usajili huu wa dirisha dogo kwani mpaka sasa imesajili mchezaji mmoja tu kiungo Luis Miquissone
Pamoja na kuwepo kwa taarifa kuwa mabingwa hao wa nchi wanaweza kuongeza wachezaji wawili, lakini michakato imekuwa ikifanyika kwa usiri mkubwa
Pengine tusubiri 'suprise' ya usajili wa nyota wapya ndani ya saa 48 zijazo
Michakato ya usajili wa Simba sasa imekuwa ikifanywa kwa weledi mkubwa tofauti na miaka ya nyuma
ADVERTISE HERE