Simba yapania kutwaa taji la kwanza 2020 dhidi ya Mtibwa Sugar leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jan 2020
Simba yapania kutwaa taji la kwanza 2020 dhidi ya Mtibwa Sugar leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo saa mbili na robo usiku kitashuka dimba la Amaan kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa fainali michuano ya kombe la Mapinduzi

Pamoja na Simba kupewa nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, lakini ni mchezo ambao hautakuwa mwepesi kutokana na kuimarilka kwa kikosi cha Mtibwa Sugar

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amesema wameifuatilia Mtibwa Sugar na kubaini ni moja ya timu bora Tanzania hivyo hawapaswi kuwadharau

Simba ilikamilisha maandalizi yake ya mwisho jana jioni kwenye uwanja wa Amaan

Meneja wa timu hiyo Patrick Rweyemamu amesema vijana wote wako katika hali nzuri kuelekea mchezo huo

Simba imeshiriki michuano ya mwaka huu ikitumia kikosi chake cha kwanza kama ilivyo kwa wapinzani wao Mtibwa Sugar

Ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar utawapa taji la kwanza mwaka 2020

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’