Coastal Union yakana kumuuza Mwamnyeto

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jan 2020
Coastal Union yakana kumuuza Mwamnyeto

Uongozi wa klabu ya Coastal Union umekanusha taarifa za kumuuza beki wake kisiki Bakari Nondo Mwamnyeto

Taarifa iliyotolewa na timu hiyo leo imesema kuwa Mwamnyeto bado ana mkataba wa zaidi ya mwaka mmoja na Coastal Union

Kumekuwa na tetesi kuwa klabu ya Simba imemsajili beki huyo kisha itamtoa kwa mkopo klabu ya Coastal Union mpaka mwishoni mwa msimu

Coastal Union imekanusha tetesi hizo na kusisitiza kuwa Mwamnyeto ni mchezaji wao halali

"Bakari Nondo Mwamnyeto ni mchezaji halali wa Coastal Union na ana mkataba wa kuitumikia Coastal Union zaidi ya mwaka," imesema taarifa ya Coastal Union

"Mwamnyeto hajauzwa wala kununuliwa na klabu yoyote ndani na nje ya Tanzania hivyo kutangaza au kumuhusisha kuwa amenunuliwa na kutolewa kwa mkopo kwa klabu yake ya Coastal Union ni kuikosea klabu heshima"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’