Raundi ya nne kombe la FA, Simba vs Mwadui Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jan 2020
Raundi ya nne kombe la FA, Simba vs Mwadui Fc

Droo ya michuano Kombe la Shirikisho la Azam Sports raundi ya nne na ya tano (32 Bora na 16 bora) imefanyika leo

Vinara wa ligi kuu na mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa misimu miwili mfululizo Simba, wao wamepangwa kuumana na Mwadui Fc katika mchezo ambao utapigwa kati ya Januari 24 na Januari 26 uwanja wa Uhuru

Huu utakuwa mchezo wa kisasi kwa Simba hasa ikizingatiwa Mwadui Fc ndio timu pekee ambayo iliifunga Simba kwenye ligi msimu huu

Mechi nyingine za raundi ya nne;

88-Gwambina vs Ruvu Shooting

89- African Sport vs Alliance fc

90- Police Tz vs Mbeya tz

91-Ndanda fc vs Dodoma fc

92-Majimaji fc vs Stand Unite

93-Ihefu fc vs Gipco fc

94-Kmc vs Pan African

95-Panama fc vs Mtivilwa fc

96-Namungo fc vs Biashara united

97-Mtibwa sugar vs Sahare All Star

98-JKT Tanzania vs Tukuyu star

99-Simba sc vs Mwadui fc

100- Young Africa vs Tanzania Prisons

101-Azam fc vs Friends rangers

102-Kagera sugar vs Mighty Elephant

103- Lipuli fc vs Kitayosa fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’