Sven kuongeza beki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2020
Sven kuongeza beki Simba

Baada ya kuwa na timu kwa takribani wiki tatu, kocha wa Simba Sven Vandenbroeck amewasilisha mapendekezo ya maboresho zaidi ya kikosi chake kabla ya dirisha la usajili kufungwa wiki ijayo, imefahamika

Mpaka sasa Simba imesajili mchezaji mmoja tu kiungo mshambuliaji Luis Miquissone lakini inaelezwa wachezaji wengine wawili wanaweza kutua kabla ya dirisha la usajili kufungwa Ijumaa

Vandenbroeck ametaka aletewe beki mahiri wa kati pamoja na mshambuliaji

Inaelezwa Mbelgiji huyo ameweka msisitizo zaidi kwenye nafasi ya ulinzi

Pachal Wawa, Tairone Da Silva na Kennedy Juma wametumika zaidi tangu Sven akabidhiwe majukumu ya kuinoa Simba

Kiraka Erasto Nyoni amepata nafasi ndogo ya kucheza tangu benchi la ufundi lilipobadilishwa wakati Yusuf Mlipili yeye yuko mbioni kutolewa kwa mkopo

Simba inahusishwa na beki wa Coastal Union Bakari Mwamnyeto ambaye inaelezwa makubaliano tayari yamefikiwa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’