Milioni 539 zakusanywa mechi dhidi ya Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2020
Milioni 539 zakusanywa mechi dhidi ya Yanga

Uongozi wa klabu ya Simba umesema mahudhurio ya mchezo dhidi ya Yanga yalikuwa mazuri ambapo mashabiki zaidi ya 57,000 waliingia uwanjani kushuhudia mchezo huo

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo, mapato yaliyokusanywa kwenye mchezo huo ni Tsh 539,120,000/-

Simba imewashukuru mashabiki wake kwa kujitokeza kwa wingi

Taarifa hiyo imesema matarajio ya mashabiki yalikuwa makubwa kwani hakuna matokeo mengine ambayo mashabiki wanahitaji zaidi ya ushindi dhidi ya Yanga

"Kumekuwa na mengi ya kujifunza kutokana na mechi hii, benchi la ufundi likiongozwa na kocha Sven Vandenbroeck linafanyia kazi changamoto zilizojitokeza," imesema sehemu ya taarifa hiyo

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
5h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
5h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
8h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’