Sven amewapania Azam FC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jan 2020
Sven amewapania Azam FC

Simba iko Unguja ikiendelea na maandalizi ya mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam Fc

Mchezo huo utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja wa Amaan

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck ameuchukulia mchezo huo kwa uzito mkubwa kwani anatarajiwa kutumia kikosi chake cha kwanza

Baadhi ya wachezaji ambao hawakusafiri na timu awali, wakiongozwa na Meddie Kagere, wametua Zanzibar na wameshiriki mazoezi ya jana jioni

Ni dhahiri Sven anataka ushindi kwenye mchezo huo ili waweze kutinga fainali na pengine kukutana na watani zao Yanga

Leo Yanga itacheza na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali

Kama Yanga itaifunga Mtibwa na Simba kuifunga Azam Fc, timu hizo zitakutana fainali Januari 13

Aidha ikitokea timu zote zimepoteza michezo ya nusu fainali, pia zitakutana kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’