Nahodha wa Simba John Bocco leo ataongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Zimamoto
ibrahim Ajib, Sharaff Shiboub, Miraji Athumani na Hassan Dilunga nao wamejumuishwa katika kikosi kinachoanza
Erasto Nyoni anatarajiwa kuongoza safu ya ulinzi akishirikiana na Kennedy Juma huku Shamte Haruna na Gadiel Michael wakicheza ulinzi wa pembeni
Kiungo Luis Miquissone ameanzia benchi
ADVERTISE HERE