Miquissone kukiwasha Gombani?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jan 2020
Miquissone kukiwasha Gombani?

Mshambuliaji mpya wa Simba Luis Miquissone ni miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa kwenye kikosi kilichosafiri visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

Simba itashuka dimbani leo kuikabili Zimamoto katika mchezo ambao utapigwa uwanja Gombani

Huenda mashabiki wa Simba leo wakamshuhudia kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya uzi wa rangi nyeupe na nyekundu

Miquissone alitua Simba Alhamisi iliyopita akitokea klabu ya UD Songo alikokuwa akicheza kwa mkopo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’