Kikosi cha Simba leo kitashuka katika uwanja wa Gombani kuikabili Zimamoto kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi
Michuano hiyo ambayo inafanyika kwa mtindo wa mtoano mwaka huu, itaishuhudia Simba ikitinga nusu fainali kama itaibuka na ushind leo
Baada ya matokeo yasiyorodhisha kwenye mchezo dhidi ya Yanga juzi, Simba imepania kutumia michuano hii kuwapa furaha mashabiki wake kwa kuibuka na ubingwa
Mabingwa hao wa nchi watakutana na Azam Fc hatua ya nusu fainali kama watashinda leo
Jana Azam Fc na Mtibwa Sugar zilitangulia nusu fainali baada ya kushinda michezo yao
ADVERTISE HERE