Baada ya kuwasili kisiwani Pemba jana, kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Zimamoto
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne kwenye uwanja wa Gombani saa 10:15 jioni
Simba inajitaji kushinda mchezo huo ili kutinga nusu fainali hatua ambayo wanaweza kukutana na Azam Fc
ADVERTISE HERE