Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimewasili Kisiwani Pemba tayari kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi
Simba itacheza mchezo wake wa kwanza siku ya Jumanne Jan 07 dhidi ya Zimamoto
Michuano ya mwaka huu inachezwa kwa mfumo wa mtoano
ADVERTISE HERE