Afisa Habari wa Simba Haji Manara amewakumbusha wachezaji wa timu hiyo watambue ukubwa wa timu wanayocheza
Manara amesema kitendo cha kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Yanga jana ni fedheha kwa Simba
Amesema licha ya wachezaji kupewa kila kitu, lakini hawakuonekana kuipigania timu tofauti na wapinzani zao Yanga ambao timu yao ina matatizo lukuki lakini wameonyesha ushujaa
Amesema matokeo ya jana yamewaumiza mashabiki, Bodi ya Wakurugenzi na Mwekezaji Mohammed Dewji 'Mo'
ADVERTISE HERE