Kikosi cha Simba kimeelekea visiwani Pemba kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi
Simba itashuka dimbani keshokutwa Januari 07 kuikabili Zimamoto
Mchezo utapigwa uwanja wa Gombani, Pemba
ADVERTISE HERE