FT : Simba 2-2 Yanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jan 2020
FT : Simba 2-2 Yanga

Simba imelazimishwa sare ya pili msimu huu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Yanga

Simba ilikuwa ya kwanza kufunga mabao yake mawili kupitia kwa Meddie Kagere na Deo Kanda

Kagere alifunga bao la kwanza na la 10 kwake msimu huu akifunga mkwaju wa penati kwenye dakika ya 43 baada ya kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari

Bao la pili lilifungwa na Kanda likiwa limetengenezwa na Kagere

Kukosekana kwa umakini kulipelekea Yanga kusawazisha mabao hayo ndani ya dakika nne

Ni mchezo ambao Simba ilikuwa na kila sababu ya kuondoka na alama zote, lakini mwisho wa siku alama hiyo moja sio haba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’