Mchezo dhidi ya Yanga unatarajiwa kuanza saa 11 jioni lakini mpaka wakati huu tayari majukwaa ya upande wa klabu ya Simba yanakaribia kufurika
Mashabiki wameendelea kujitokeza kwa wingi na bila shaka mpaka kufikia saa kumi jioni uwanja utakuwa umejaa
Ni utamaduni kwa mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi katika michezo mikubwa ambayo timu yao inacheza dimba la Taifa
ADVERTISE HERE