Kibadeni anataka rekodi yake ivunjwe leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Jan 2020
Kibadeni anataka rekodi yake ivunjwe leo

Mkongwe mwenye historia yake klabu ya Simba Abdallah Kibaden 'King' amewataka wachezaji wa timu hiyo wawape furaha mashabiki leo kwa kuibuka na ushindi mnono

Kibaden ambaye rekodi yake ya kufunga mabao matatu 'hat-trik' kwenye mchezo wa Simba na Yanga bado haijavunjwa, amesema anatamani kuona washambuliaji Meddie Kagere na John Bocco wakivunja rekodi hiyo

"Simba ina kikosi kizuri kuliko watani zao Yanga. Naamini kama wachezaji watakuwa na utulivu, ushindi mnono utapatikana leo," amesema

"Ningependa kuona Simba ikipata ushindi mkubwa na itakuwa vyema kama washambuliaji Meddie Kagere na John Bocco wataweza kuvunja rekodi yangu ya kufunga mabao matatu kwani imekaa kwa muda mrefu sana"

Kikosi cha mabingwa wa nchi Simba kiko tayari kwa mchezo huo ambao utaanza saa 11 jioni katika uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’