Kiungo mpya wa Simba Luis Miquissone leo ameshiriki mazoezi ya kwanza na kikosi cha mabingwa hao wa soka Tanzania Bara
Miquissone ametambulishwa leo baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu
Mazoezi hayo yaliyofanyika Mo Simba Arena yalikuwa ya mwisho kabla ya mabingwa hao wa nchi kuikabili Yanga kesho





ADVERTISE HERE