Sio tetesi tena baada ya klabu ya Simba kumtambulisha kiungo mshambuliaji Luis Miquissone aliyekuwa akiitumikia UD Songo kwa mkopo
Nyota huyo ametokea klabu ya Mamelodi Sundowns
Miquissone amekaribishwa rasmi na kocha mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck
Karibu Msimbazi Miquissone...!
ADVERTISE HERE