Je Miquissone atatambulishwa leo?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jan 2020
Je Miquissone atatambulishwa leo?

Pengine leo klabu ya Simba itatambulisha nyota wake wa kwanza aliyesajiliwa kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo

Kupitia ukurasa rasmi wa Simba mtandao wa Instagram, leo tukio kubwa litafanyika huko Msimbazi

Huenda ukawa utambulisho wa kiungo mshambuliaji Luis Miquissone anayetua kutoka klabu ya Mamelodi Sundowns

Mshambuliaji huyo ambaye alitawala vyombo vya habari hasa magazeti na mitandao ya kijamii kwa wiki kadhaa, awali alikuwa akihusishwa na klabu ya Yanga kabla ya Simba kuwapiku watani zao hao

Miquissone anatambulishwa wakati muafaka kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa

Ni kama Simba inakwenda kujibu mapigo ya watani zao ambao jana walimpokea kiungo Haruna Niyonzima aliyeitumikia Simba msimu uliopita kabla ya kuachwa kwenye usajili wa msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’