Ni matokeo ya mchezo hakuna haja ya kulaumiana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Jan 2018
Ni matokeo ya mchezo hakuna haja ya kulaumiana
Matokeo ya kupoteza mchezo dhidi ya Azam FC jana hayakuwafurahisha mashabiki wengi wa Simba lakini yabidi kukubali kwani ndio mpira ulivyo.

Simba ingeweza kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo kama ingezitumia vyema nafasi zake nyingi ilizotengeneza.

Azam FC wametengeneza nafasi chache lakini wakaitumia moja iliyowapa ushindi wa bao 1-0.

Simba inahitaji kujipanga ili kuibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya URA ili iweze kutinga nusu fainali.

Ni matokeo ya ushindi pekee ndiyo yataivusha Simba kwenda nusu fainali.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’