Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mazingisa leo Jumatano, ikiwa siku ya kwanza ya mwaka 2020, atazungumza na Wanahabari kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi, januari 04 kwenye uwanja wa Taifa
Senzo ataongozana na Afisa habari wa mabingwa hao wa Tanzania Bara, Haji Manara
Mkutano utafanyika Hoteli ya Serena kuanzia saa sita mchana
Manara amesema kuna mambo mazuri yatazungumzwa kwenye Mkutano huo, amewataka mashabiki watege sikio
ADVERTISE HERE