Bocco karudi kazi wanayo Januari 04

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Dec 2019
Bocco karudi kazi wanayo Januari 04

Nahodha wa Simba John Bocco leo amerejea kikosini baada ya kuwa nje tangu August 17 akisumbuliwa na majeraha ya goti

Leo ulikuwa mchezo wake wa kwanza, akiwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichopata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Biashara United

Bocco amerejea wakati muafaka kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi, Januari 04 2020 kwenye uwanja wa Taifa

Simba ina uhakika wa kuwa na huduma ya washambuliaji wake wote wawili kwenye mchezo huo

Ni uamuzi wa kocha Sven Vandenbroeck kuamua

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’