Bocco kuendelea kuwa nahodha wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jan 2018
Bocco kuendelea kuwa nahodha wa Simba
Kocha msaidizi wa Simba ambae anakaimu Ukocha mkuu kwa sasa Masoud Djumaa Irambona,leo amemthibitisha Mshambuliaji mzoefu John Bocco kuwa nahodha wa Timu ya Simba.

Bocco atasaidiwa na beki wa pembeni wa kimataifa Mohammed Hussein 'Tshabalala' pamoja na kiungo mwandamizi Mwinyi Kazimoto.

Uthibitisho huo umeungwa mkono na uongozi wa klabu na unaamini utaongeza ari zaid ndani ya Timu,sambamba na nidhamu kwenye kikosi chetu

Imetolewa na.... Haji S Manara
Mkuu wa Habari Simba Sc
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’