Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' yuko mbioni kushusha basi la kisasa kabisa la mabingwa hao wa nchi
Basi linalotumiwa na klabu ya Simba sasa walikabidhiwa mwaka 2012 na Kampuni ya bia Tanzania (TBL) ambao walikuwa wadhamini wa vilabu vya Simba na Yanga wakati huo



ADVERTISE HERE