Vandenbroeck ataka kila mchezaji aonyeshe uwezo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2019
Vandenbroeck ataka kila mchezaji aonyeshe uwezo

Wengi walipata mshtuko baada kuona kikosi kilichoanza mchezo dhidi ya KMC leo kikiwa na mabadiliko makubwa kwani ni wachezaji watatu ambao walicheza mchezo uliopita dhidi ya Lipuli Fc walianza

Lakini pamoja na mabadiliko hayo Simba ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyowekwa kimiani na Deo Kanda na Gerson Fraga

Hata hivyo imebainika kuwa ulikuwa ni mpango wa kocha Sven VanDerbroeck kuwapa nafasi baadhi ya nyota ili kujiridhisha na uwezo wao

Ikumbukwe uongozi wa klabu ya Simba ulimpa Sven nafasi ya kukifanyia tathmini kikosi chake kisha kuwasilisha mapendekezo ya usajili

Mapendekezo ya usajili yaliyopo yaliachwa na kocha wa zamani wa timu hiyo Patrick Aussems

Kuna uwezekano baadhi ya wachezaji wataachwa huku wengine wakitolewa kwa mkopo kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 16

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’