Senzo apagawa na sapoti ya mashabiki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Dec 2019
Senzo apagawa na sapoti ya mashabiki Simba

Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa ameeleza kufurahishwa na mwamko wa mashabiki kwa timu yao

Senzo amesema jambo hilo linamhamasisha ambapo pamoja na viongozi wengine wa timu hiyo, watahakikisha wanaendelea kuwapa furaha mashabiki wao

Senzo leo atakuwa uwanja wa Uhuru kuongoza msako wa alama tatu kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC

"Nawashukuru sana mashabiki wa Simba kwani mnanihamasisha sana, mapenzi kwa timu yenu hayana mfano," ameandika Senzo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

"Ujumbe huu nautoa kwa niaba ya safu ya uongozi wa Simba, leo tutakuwa sote uwanja wa Uhuru ni mchezo namba 58 dhidi ya KMC"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’