Leo ilikuwa kumbukumbu ya siku za kuzaliwa kwa wachezaji Miraji Athumani na Haruna Shamte
Kama ilivyo kawaida, baada ya mazoezi ya jioni yaliyofanyika uwanja wa Mo Simba Arena wachezaji hao walipata wasaa wa kufurahi na wenzao

ADVERTISE HERE