Leo ilikuwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya mshambuliaji Miraji Athumani na beki Haruna Shamte
Miraji aliyeifungia Simba mabao sita kwenye ligi, amekuwa na mwanzo mzuri ndani ya kikosi cha mabingwa hao wa nchi
Shamte ametumika kwenye kikosi cha kwanza kwa nyakati tofauti akiwa mbadala wa Kapombe
Tunawatakia kila la kheri kwenye siku hii muhimu kwao
ADVERTISE HERE