Taarifa muhimu kuhusu upatikanaji wa kadi za Mashabiki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Dec 2019
Taarifa muhimu kuhusu upatikanaji wa kadi za Mashabiki Simba

Kuanzia leo 27 DECEMBER 2019 na kuendelea kila siku Matawi yote ya Equity Bank Tanzania nzima yatakuwa RASMI yanatoa KADI ZA MASHABIKI ZA SIMBA kifupi E-CARD kwa Mashabiki wote popote walipo.

VITU UNAVYOTAKIWA KWENDA NAVYO

1. Fedha 22,000
2. Kitambulisho chako cha NIDA (Namba inaruhusiwa) au Kitambulisho Cha Kura.

MIKOANI MATAWI YAPO HAPA:

1. MWANZA
Posta Road Nyamagana, Mkabala na New Mwanza Hotel.

2. MOROGORO Old Dar es Salaam Road, mkabala na Stand Kubwa ya Daladala.

3. ARUSHA
Uhuru Road Friends Corner Jengo la Arusha Trade Centre, Mkabala na Posta Office.

4. DODOMA
Mbeya Avenue ipo Uhindini nyuma ya Victory Bookshop, mkabala na Ccm Makao makuu.

5. MOSHI
Aghakhan Road, Jengo la NSSF Kilimanjaro Complex.

6. MBEYA
Market Square karibu na Vodacom Shop, mkabala na Mbeya Posta Office.

7. ZANZIBAR
Mlandege Road, mkabala na Masjid Asalaam.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’