Mlinda lango namba moja wa Simba na timu ya Taifa ya Tanzania, Aishi Manula ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa leo jijini Dar es salaam.
Tunamtakia kila kheri yeye na mkewe, Mungu ayajaalie maisha yao ya ndoa.
Tunamtakia kila kheri yeye na mkewe, Mungu ayajaalie maisha yao ya ndoa.
ADVERTISE HERE