Kituo kinachofuata ni KMC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
26 Dec 2019
Kituo kinachofuata ni KMC

Baada ya ushindi mnono  wa mabao 4-0 dhidi ya Lipuli Fc jana, mabingwa wa nchi Simba watashuka tena dimbani keshokutwa Jumamosi kuikabili KMC katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Mabingwa hao wa ligi kuu kwa misimu miwili mfululizo, wanaonekana kuongeza makali kwenye kuzifumania nyavu ambapo chini ya Sven Vandenbroeck tayari wamefunga mabao 10 huku wakiwa hawajaruhusu bao hata moja

Mchezo dhidi ya KMC utakuwa wa kisasi kwa Simba

KMC iliifunga Simba mabao 2-1 kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa mwezi uliopita

Hata hivyo Simba waliyocheza nayo wakati huo iliwakosa nyota wengi waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa

Jumamosi watakutana na 'mziki mnene' wa wababe hao wa soka la Tanzania

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →