Senzo awaweka 'mguu sawa' mashabiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2019
Senzo awaweka 'mguu sawa' mashabiki

Baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Senzo Mazingisa na Kassim Dewji wako Afrika Kusini kukamilisha 'dili' za usajili, mashabiki wamekuwa na shauku ya kufahamu ilipofikia michakato hiyo

Kumekuwa na tetesi zinazowahusu nyota kadhaa akiwemo winga wa Luis Miquissone ambaye anaitumikia kwa mkopo UD Songo akitokea klabu ya Mamelodi Sundowns

Bosi huyo wa Simba amewaweka 'mguu sawa' mashabiki kuwa wasubiri kupokea taarifa nzuri

Hata hivyo amegoma kuzungumza chochote kuhusu michakato hiyo iliyompeleka Afrika Kusini

"Kwa sasa mimi sina taarifa yoyote lakini mashabiki wasichoke kupita kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii pamoja na kufuatilia taarifa zinazotolewa na kitengo chetu cha habari," amesema

Inaelezwa Simba tayari imemalizana na Mamelodi na Miquissone na pengine mchezaji huyo atatangazwa wakati wowote kujiunga na mabingwa hao wa nchi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’