Simba yapania kuendeleza moto wa mabao dhidi ya Lipuli Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2019
Simba yapania kuendeleza moto wa mabao dhidi ya Lipuli Fc

Baada ya ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Arusha Fc kwenye mchezo wa kombe la Azam (ASFC) juzi, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kesho kitashuka uwanja wa Uhuru kuikabili Lipuli Fc

Huo utakuwa mchezo wa pili kwa benchi jipya la ufundi linaloongozwa na Sven Vandenbroeck, ukiwa ni mchezo wa kwanza wa ligi kwa Mbelgiji huyo

Mchezo huo utatoa taswira halisi ya kiufundi kwani Lipuli ni moja ya timu zinazofanya vizuri kwenye ligi msimu huu

Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola amesema matokeo ya ushindi mnono dhidi ya AFC ni mwanzo tu, wamepania kuendeleza wimbi la ushindi kwa kila timu watakayokutana nayo

Matola amewahi kuwa kocha wa Lipuli Fc kabla ya kutimkia Polisi Tanzania hivyo atakuwa na mchango mkubwa kiufundi dhidi ya waajiri wake hao wa zamani

Simba ndio vinara wa ligi kuu wakiwa wamejikusanyia alama 25

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’